Skip to main content
Skip to main content

COP 31: takriban $156Bn zahidiwa kufanikisha uwekezaji katika sekta ya kawi duniani

  • | NTV Video
    364 views
    Duration: 2:25
    Tutupe macho sasa kule Uturuki ambapo kongamano la umoja wa mataifa kuhusu mabadiliko ya tabia nchi linaendelea. Kwenye ajenda leo imekuwa masuala ya kawi na nguvu za umeme huku takriban dola bilioni 156 zikiahidiwa kufanikisha uwekezaji katika sekta ya kawi kuhakikisha kuwa umeme unafika kila pembe ya dunia. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya