- 4,030 viewsDuration: 4:05Kumbikizi ya Cyrus Jirongo inaashiria mwanasiasa aliyetamba kwa urefu wa maisha yake katika Ulingo wa siasa lakini Pia kama mfanyabiashara tajika mwenye utajiri mkubwa na kusifiwa na wandani wake kama mtu mkarimu aliyekosa mipaka.