dar Uimarishaji Ugatuzi I Serikali kuu na zile za kaunti kushauriana zaidi.

  • | KBC Video
    32 views

    Serikali ya kitaifa na zile za kaunti ziko katika harakati za kuthibitisha ripoti za kuhamisha majukumu katika hatua inayolenga kuimarisha mfumo wa ugatuzi. Akizungumza jijini Nairobi wakati wa kongamano la mashauriano lililowaleta pamoja makatibu wa idara mbali mbali za serikali na baraza la magavana, katibu katika idara ya Ugatuzi Teresia Mbaika alisema watashauriana zaidi kama ilivyoagizwa katika kikao cha 10 cha kongamano la ugatuzi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive