18 Mar 2026 11:36 am | KNA Video 18 views Duration: 2:48 Ni afueni kwa wakaazi wa Langobaya na Baricho katika kaunti ya Kilifi baada ya serikali kukamilisha ujenzi wa daraja la mita 210 juu ya mto Galana kwa gharama ya shilingi bilioni 2.3.