12 May 2026 2:10 pm | Citizen TV 75 views Duration: 3:15 Uraibu wa dawa za kulevya nchini umeathiri vijana wengi na hivyo pana haja ya serikali, wazazi na washikadau wote kuhakikisha kuwa, tatizo hilo linakabiliwa .