- 52,256 viewsDuration: 37sChama tawala nchini Tanzania CCM kimepitisha Waziri wa Nishati nchi humo Deogratius Ndejembi kuchukua nafasi ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Hivyo kwa mujibu wa Katiba jina la Ndejembi litapelekwa Bungeni ili kupigiwa kura na Wabunge ya kumuidhinisha rasmi kuwa Makamu wa Rais. Hatua hii inakuja baada ya aliyekuwa Makamu wa Rais Emmanuel John Nchimbi kutangaza kujiuzulu nafasi hiyo na Rais Samia suluhu Hassan kuridhia. Video: Tbc #bbcswahili #tanzania #CCM Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw