- 5,846 viewsDuration: 2:36Familia moja eneo la Kawangware 56 jijini Nairobi wameomba maafisa wa usalama kufanya hima kuchunguza kutoweka kwa jamaa yao Pius Ngugi. Ngugi alitoweka siku 10 zilizopita alipokuwa akiendesha kazi yake kama dereva wa teksi za mtandao. Aliondoka nyumbani baada ya kupata mteja huku uchunguzi ukionyesha simu yake ilizimwa maeneo ya Athi River kaunti ya Machakos