Skip to main content
Skip to main content

Dhoruba yakumba Kisumu na Vihiga, watu wanne wajeruhiwa

  • | Citizen TV
    3,944 views
    Duration: 2:25
    Watu wanne walijeruhiwa huku mali ya thamani ikiharibiwa na dhoruba kali iliyoshuhudiwa katika ufuo wa Dunga kaunti ya Kisumu. Walioshuhudia tukio hilo wanasema kuwa dhoruba hiyo ilianza muda mfupi baada ya mvua, ambayo pia ilisomba mali na kusababisha hasara. Vilevile, katika kaunti ya Vihiga, familia tatu zimesalia bila makao baada ya nyumba zao kuharibiwa na upepo mkali, kama Laura Otieno anavyotuarifu.