- 7,189 viewsDuration: 1:34Urban Gospel ni jukwaa jipya la vijana kuunganishwa kupitia muziki wa injili na imani bila shinikizo la utaratibu wa kawaida wa ibada. Hapa vijana hukutana, kucheza na kufurahia mitindo ya muziki wa injili. Ni kama mbadala wa wale ambao hawapendi mazingira ya kawaida ya vilabu vya usiku. @_phillys alitembelea na kuandaa taarifa hii Video:@brianmala #bbcswahili #kenya #muziki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw