Skip to main content
Skip to main content

Dkt. Janabi ataka vita visitishwe DRC ili kukabili Ebola. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    18,082 views
    Duration: 28:03
    Wizara ya Afya imethibitisha kisa kingine kimoja cha ugonjwa wa Ebola, na kufanya jumla ya visa vilivyothibitishwa kufikia tisa, ikiwemo kisa cha kwanza ambacho kilisababisha kifo. Kisa hiki kipya ni cha mwanamume mwenye umri wa miaka 24 na ndugu wa karibu wa mgonjwa wa kwanza. #Kenya #Ebola #Janabi #DRC #bbcswahili #bbchabarileo #bbcdirayaduniatv Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw