Skip to main content
Skip to main content

Droni yalipuka kwenye paa la duka ukraine, watu watatu wajeruhiwa

  • | BBC Swahili
    2,513 views
    Duration: 20s
    Kamera za CCTV zilinasa wakati droni ilipolipuka kwenye paa la duka kubwa katika mkoa wa Odesa, Ukraine, na kujeruhi watu watatu. Mashambulizi ya anga kati ya Urusi na Ukraine yanaendelea kuathiri miundombinu na maeneo ya raia. #bbcswahili #urusi #ukraine Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw