Skip to main content
Skip to main content

Drusillah Okello Ouma aanza maisha mapya baada ya kufanyiwa upasuaji wa kurekebisha fistula

  • | NTV Video
    626 views
    Duration: 3:52
    Drusillah Okello Ouma kutoka Kijiji cha Kochich, Kaunti ya Homa Bay, amekuwa akiishi na tatizo la fistula ya uzazi kwa zaidi ya miaka 50. Hata hivyo, miaka mitano iliyopita, maisha yake yalibadilika alipofanyiwa upasuaji wa kurekebisha fistula, ambao ulifanikiwa. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya