- 2,774 viewsDuration: 3:11Kinara DCP Rigathi Gachagua anadai kwamba bima ya Afya ya kitaifa ya SHA, itasambaratika kutokana na mzigo mkubwa wa madeni. Gachagua alizungumza Kirinyaga huku waziri wa Afya Aden Duale aliyekuwa kaunti ya Wajir akipuuza madai hayo akisema kuwa bima ya SHA ambayo imesajili zaidi ya wakenya milioni 30 inaendelea kunawiri huku serikali ikiwa tayari imelipa hospitali za umma na za kibinafsi shilingi bilioni 121 kufikia sasa.