Duka la Nice Digital City huko Mwea lafunguliwa tena

  • | Citizen TV
    545 views

    Baada ya maduka yake kadhaa kuharibiwa wakati wa maandamano ya saba saba, duka la pamoja la Nice Digital City lililoko Mwea kaunti ya Kirinyaga, limerejelea shughuli siku saba baada ya kuporwa na wahuni.