Dunia Wiki Hii: Zaidi ya watu 280 waaga dunia, 900 wajeruhiwa kufuatia ajali mbaya ya treni India

  • | KBC Video
    22 views

    Katika makala ya juma hili - 10th June 2023; - Watu 9 waaga dunia nchini Senegal kufuatia maandamano baada ya kiongozi wa upinzani kuhukumiwa kifungo gerezani. - Zaidi ya watu 280 waaga dunia nchini India huku wengine 900 wakijeruhiwa kufuatia ajali mbaya ya treni. -Baraza la shirika la UN Habitat laandaliwa jijini Nairobi huku miito ikitolewa ya kuharakisha juhudi za kuimarisha maeneo ya miji.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News #DuniaWikiHii #KBCniYetu