11 Dec 2025 10:39 am | Citizen TV 595 views Duration: 1:39 Tume ya kupambana na ufisadi nchini - EACC- imetoa ushahidi wake kwenye kashfa ya ulaghai wa fedha zinazowalenga washukiwa wanne akiwemo Diwani wa zamani wa kaunti ya Mombasa Jabez Oduor.