Skip to main content
Skip to main content

EACC yauza jumla ya majumba matano yaliyokuwa yakimilikiwa na gavana wa zamani Okoth Obado

  • | NTV Video
    13,945 views
    Duration: 2:09
    EACC imeuza jumla ya majumba matano yaliyokuwa yakimilikiwa na Gavana wa Zamani WA Kaunti ya Migori Okoth Obado na Aliyekuwa mkuu wa Kitengo cha hazina katika Kaunti ya Nairobi Stephen Ogaga Osiro. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya