Skip to main content
Skip to main content

Ed Sheeran: Wasanii wote wajiondoa katika ziara kuunga mkono Palestina

  • | BBC Swahili
    330 views
    Mwanamuziki nguli kutoka Uingereza, Ed Sheeran, ameingia kwenye mjadala baada ya wasanii wote waliopangwa kutumbuiza kwenye matamasha yake kujiondoa kwenye ziara yake ya muziki nchini Marekani. Hatua hii imekuja kama ishara ya kumuunga mkono Rapa wa Marekani, Macklemore, ambaye aliondolewa kwenye ziara hiyo kufuatia kauli zake za kuunga mkono Palestina alizozitoa jukwaani. Sammy Awami anaeleza mkasa mzima ulivyokuwa #bbcswahili #edsheeran #palestina Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw