- 53,083 viewsDuration: 3:09El Niño "iliyo kali zaidi" huenda ikatokea Mwezi Oktoba ambapo mataifa yametakiwa kuharakisha maandalizi dhidi ya hali mbaya ya hewa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) limeonya kwamba tukio hili la asili la hali ya hewa la El Niño linaweza kusababisha usumbufu mkubwa kwa uchumi wa dunia, kutokana na athari zake za mvua kubwa, mafuriko, ukame na mawimbi ya joto kali katika maeneo mbalimbali duniani. Mwandishi wa BBC @caro.robi1 na taarifa zaidi #bbcswahili #kenya #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw