10 Apr 2026 10:19 am | Citizen TV 2 views Elimu ya chekechea katika kaunti ya Laikipia inatarajiwa kuboreshwa baada ya serikali ya kaunti kuahidi kuchukua hatua madhubuti kutokana na ripoti nyingi zilizoonyesha hali duni ya shule hizo.