10 Apr 2026 10:26 am | Citizen TV 67 views Duration: 1:59 Elimu ya chekechea katika kaunti ya Laikipia inatarajiwa kuboreshwa baada ya serikali ya kaunti kuahidi kuchukua hatua madhubuti kutokana na ripoti nyingi zilizoonyesha hali duni ya shule hizo.