- 1,570 viewsDuration: 9:18Kwa miaka mitatu, Ellen Ponsian, 28 amekuwa akifanya utafiti kufuatilia mwenendo wa Simba ndani na nje ya Hifadhi ya Serengeti Tanzania. Kwa muda huo, ameweza kuwajua mmoja mmoja, akifahamu familia zao na historia zao. Lakini kazi yake inamuweka karibu na mmoja wa wanyama hatari zaidi barani Afrika. Mwandishi wa BBC Yusufu Mazimu alikutana naye #bbcswahili #serengeti #simba Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw