- 28,685 viewsDuration: 23sBilionea na mjasiriamali wa teknolojia Elon Musk ametambulisha rasmi mfano wa gari jipya linaloweza "kupaa" na kukimbia likiwa limegeuka chini. Katika onyesho lililofanyika huko Texas, gari hilo lilitumia teknolojia ya roketi kutoka kampuni yake ya SpaceX kuruka hewani. Gari hilo linatarajiwa kuanza uzalishwaje wake 2028 Upo tayari kuendesha gari hili? #bbcswahili #elonmusk #garilaroketi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw