29 Oct 2025 1:10 pm | Citizen TV 9,580 views Duration: 1:39 Raia wa Uholanzi, Elwin Ter Horst, atarejeshwa kwao mara moja baada ya kunaswa kwenye kamera akiwatukana na kuwadhalilisha maafisa wa polisi katika Kituo cha Polisi cha Diani Kaunti ya Kwale.