- 83,649 viewsDuration: 2:06Makamu wa Rais wa Tanzania, Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa pamoja na utumishi wa umma, kwa mujibu wa barua inayosambaa mitandaoni. Mpaka sasa hakuna mamlaka iliyothibitisha taarifa hiyo ingawa BBC imezungumza na vyanzo vyake vya ndani serikalini vilivyothibitisha taarifa hiyo. Sasa je Emmanuel Nchimbi ni nani haswa, alianza lini siasa? Bosha Nyaje anaelezea #bbcswahili #emmanuelnchimbi #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw