Skip to main content
Skip to main content

Esther Wangare ainua jamii kupitia urembo katika makala ya mwanamke bomba

  • | Citizen TV
    457 views
    Duration: 5:19
    Kwa wengi biashara ya saluni ni njia ya kujipatia riziki na kujiimarisha kiuchumi. Lakini kwa Esther wangare kinyanjui ni zaidi ya kazi kwani imemsaidia kuinua jamii zisizojiweza maishani na kuwapa matumaini vijana wengi.kwa zaidi ya miaka 20 sasa amekuwa mwajiri, mwalimu na mlezi wa zaidi ya watu 6000 waliopitia mikononi mwake.