Evelyn Were akumbatia kazi ya udereva kujipatia riziki

  • | K24 Video
    54 views

    Wanawake wamekuwa wakisifika kwa umakini wa hali juu wanapokuwa barabarani wakiendesha magari huku idadi ya wanaomiliki magari ya kila aina ikiongezeka. Katika kaunti ya kakamega, Evelyn Were,mama wa watoto watatu, amekumbatia kazi ya udereva kujipatia riziki.