Endometriosis ni ugonjwa wa uzazi unaohusishwa mara nyingi na maumivu ya hedhi ambapo tishu zinazofanana na ukuta wa nyungu ya mimba hukua katika maeneo mengine ya mwili. Katika mwezi huu wa hamasa ya ugonjwa huu, harakati za kimataifa zimeendelea kuchochea ufahamu, utambuzi wa mapema, na kuboresha matibabu ya ugonjwa huu sugu unaoathiri takriban asilimia 10 ya wanawake duniani.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya