Skip to main content
Skip to main content

Familia 250 zimeachwa bila makao kutokana na mafuriko eneo bunge la Taveta

  • | Citizen TV
    2,010 views
    Duration: 3:27
    Familia zaidi ya 250 zimeachwa bila makao kufuatia mafuriko ambayo yamekumba sehemu za Kimorigho na Abori eneo bunge la Taveta kaunti ya Taita Taveta. Familia hizo zimeomba usaidizi kutoka serikali kuu na ya kaunti kutafuta suluhu ya kudumu kwani mafuriko kutoka nchi jirani ya Tanzania pia yameachangia mahangaiko wanayopitia.