- 9,651 viewsDuration: 2:44Familia moja mtaani Umoja hapa Nairobi inataka maafisa wa upelelezi kumkamata mshukiwa anayesemekana kumvamia mwana wao eneo la burudani, kumchapa na kisha kumjeruhi vibaya. Familia ya Alphy Migasha inadai mvulana huyo alifariki akipokea matibabu hospitalini ila polisi hawajamkamata mshukiwa.