Familia moja huko Kitui inatafUta msaada ili kumzika jamaa yao aliyeaga dunia miezi miwili unusu iliyopita. Mwili wa Regina Amina mwenye umri wa miaka 54, umezuiliwa katika makafani ya hospitali ya Mama Lucy, kaunti ya Nairobi tangu tarehe 24, mwezi Oktoba, mwaka jana baada ya familia hiyo kushindwa kulipa shilingi laki tatu. Na jinsi mwanahabri wetu Timothy Kipnusu anavyotuarifu, Mzozo wa mahala pa kumzika mwendazake umezuka kati ya Mwanaye na wajomba zake.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive