- 2,884 viewsDuration: 2:54Familia moja kutoka eneo la Kitutu Chache Kusini kaunti ya Kisii inaitaka serikali kusaidia kuleta maiti ya binti yao aliyeaga dunia nchini Iraq. Familia ya Felister Kemunto ikisema inahofia kuwa jamaa yao atalazimika kuzikwa nchini humo endapo hawatamudu kupata shilingi laki nane kusafirisha maiti yake. Kemunto alifariki alipokuwa akijiandaa kurudi nyumbani baada ya kuwa Iraq kwa miaka mitatu