Skip to main content
Skip to main content

Familia imeshindwakumzika jamaa yao hapa Nairobi

  • | Citizen TV
    713 views
    Duration: 3:27
    Familia moja hapa Nairobi imeshindwa kumzika jamaa yao kutokana na ukora wa bima ya afya ya SHA, ulioonyesha kufariki kwa mtu aliyekuwa hai. Haya yametokea kwa familia ambayo sasa imejipata kwenye njiapanda kisheria kwa kuwa ndugu anayedaiwa kufariki yuko hai na nduguye aliyetumia bima yake akiwa ndiye aliyeaga dunia.