Skip to main content
Skip to main content

Familia Kajiado yalililia msaada wa kupata mwili wa mtoto aliyesombwa na mafuriko

  • | Citizen TV
    861 views
    Duration: 3:09
    Familia moja kaunti ya Kajiado sasa inataka mashirika ya kushughulikia majanga kuwasaidia kumtafuta mwana wao wa gredi ya sita aliyesombwa na mafuriko. Familia ikisema imeshindwa kuandaa mazishi baada ya kushindwa kuuopoa mwili wa Cecilia Wanzaa kutoka mto Meruweshi, ambaye wanasema walimudu tu kupata vitabu na mkoba wake.