Familia Kibwezi yalia haki baada ya mwana wao ambaye alikuwa mhudumu wa boda boda kuawawa kinyama

  • | Citizen TV
    682 views

    Familia moja mjini kibwezi inalilia haki baada ya mwana wao ambaye alikuwa mhudumu wa boda boda kuawawa kinyama na watu wasiojulikana ijumaa iliyopita. Familia hiyo inalaumu idara ya polisi kwa utepetevu ambao wanasema umesababisha kukithiri kwa uhalifu eneo la kibwezi