- 3,267 viewsDuration: 2:48Familia moja katika eneo bunge la Kiminini, kaunti ya Trans Nzoia, inaitaka serikali kuisaidia kubaini kilichosababisha kifo cha jamaa yao nchini Cambodia. Familia hiyo inasema kuwa jamaa huyo alitoweka na kisha baadaye kupatikana ameaga dunia katika mazingira ya kutatanisha. Familia hiyo sasa inaitaka serikali kubaini alivyopatikana nchini Cambodia na pia kusaidia kurejesha mwili wake humu nchini.