Familia mbili katika kijiji cha Mukusulu eneo bunge la Shinyalu kaunti ya Kakamega,ambazo zilipoteza jamaa wao waliopigwa risasi na kuuawa na maafisa wa shirika la huduma kwa misitu KFS ,tarehe 20 mwezi januari mwaka huu,sasa zinalilia haki,zikidai kwamba hakuna mshukiwa wowote aliyechukuliwa hatua za kisheria tangu kufanyika kwa mauaji hayo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive