Skip to main content
Skip to main content

Familia mia tatu zimeachwa bila makao Homa Bay

  • | Citizen TV
    11,772 views
    Duration: 2:40
    Familia mia tatu katika kaunti ya Homa Bay zimesalia bila makao baada ya ya Mto Sondu Miriu kuvunja kingo zake. Mvua kubwa iliyonyesha kwa siku mbili mfululizo, pia imeharibu mazao ya thamani katika eneo la Othaya kaunti ya Nyeri na kuwaacha wakazi na hofu ya kusombwa na maji.