Skip to main content
Skip to main content

Familia waomboleza kifo cha Cyrus Jirongo katika ajali

  • | Citizen TV
    5,914 views
    Duration: 3:29
    Kifo cha Mbunge wa Zamani wa Lugari Cyrus Jirongo kimepokelewa kwa mshtuko na huzuni kubwa huku familia, marafiki na viongozi mbalimbali wakimiminika katika Makafani ya Lee kupokea mwili wake na baadaye kuungana na familia nyumbani kwake kwa maombolezo. Makazi yake eneo la Gigiri yamesheheni shughuli tele huku mipango ya mazishi ikianza. Jirongo aliaga dunia saa tisa alfajiri, baada ya gari lake kugongana ana kwa ana na basi katika Barabara kuu ya Nairobi kuelekea Nakuru.