Skip to main content
Skip to main content

Familia, wenzake wamtaja Hamisi kama kiongozi hodari katika ibada ya mazishi

  • | Citizen TV
    455 views
    Duration: 1:27
    Wakati wa ibada hiyo katika kanisa la Ridgeways Baptist, familia, marafiki na wenzake bungeni walitoa heshima zao, wakisifia mengi maishani mwake. Hamisi aliingia bunge la kitaifa baada ya uchaguzi mkuu wa 2022, kupitia chama cha Amani National Congress (ANC). Alifariki katika ajali ya barabarani eneo la Karen, Nairobi, jumamosi iliyopita