- 24 viewsDuration: 2:48Mahakama kuu imempa muda mwanasheria mkuu hadi Oktoba 8 kuthibitisha matamshi ya rais kuhusiana na hatma ya afisa wa polisi Benedict Kabiru nchini Haiti. Mahakama iliarifiwa na mawakili wa familia yake kwamba matamshi ya rais yanahitilafiana na yale ya huduma ya taifa ya polisi, iliyosema kwamba afisa huyo alitoweka mwezi Machi mwaka huu alipokuwa akihudumu katika kikosi cha amani nchini Haiti. Letuaa Debra ana habari kwa kina. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive