- 3,383 viewsDuration: 2:46Familia moja katika kijiji cha Kipkenyo kaunti ya Uasin Gishu inaiomba serikali kumleta nyumbani mtoto wao aliyeenda nchini Urusi kujiunga na jeshi katika mapigano kati ya Urusi na Ukraine. Mara ya mwisho familia yake iliwasiliana na kijana huyo ilikuwa mwezi wa kumi mwaka uliopita.