Familia ya bawabu aliyeuawa kwenye maandamano yataka fidia

  • | KBC Video
    5 views

    Kampuni moja ya mabawabu wa kibinafsi imekashifiwa kwa madai ya kumtelekeza mmoja wa wafanyakazi wake Fred Wanjala, aliyeuawa kwa kupigwa risasi wakati wa maandamano ya vijana wa Gen Z mwezi uliopita. Familia ya marehemu inataka kulipwa fidia kabla ya mazishi yake. Wanjala alikumbana na mauti akiwa kazini katika jumba la Stima Plaza jijini Nairobi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive