- 2,530 viewsDuration: 2:36Familia ya muhudumu wa boda boda aliyepatikana amefariki katika kituo cha polisi cha Kawangware Jack Leon Maloba, sasa inawataka maafisa wa ipoa na wale wa upepelezi kubaini kilichotokea. Hii inafuatia upasuaji wa mwili wake ulioonyesha alifariki kwa kukosa hewa baada ya kupatikana akining'inia kwenye seli ya polisi. Hata hivyo shughuli hiyo haijabaini wazi iwapo alinyongwa au alijitia kitanzi