Skip to main content
Skip to main content

Familia ya kijana aliyefariki kwa kupigwa risasi na polisi imeitaka mamlaka kuchunguza kisa hicho

  • | Citizen TV
    781 views
    Duration: 2:36
    Familia ya kijana wa umri wa miaka 22 aliyefariki baada ya kupigwa risasi na polisi imeitaka mamlaka ya kuchunguza utendakazi wa maafisa wa polisi IPOA kufanya uchunguzi wa haraka na kuwachukulia hatua polisi waliohusika.