Skip to main content
Skip to main content

Familia ya marehemu Raila Odinga imeelezea taswira ya mtu waliyemuenzi

  • | Citizen TV
    37,971 views
    Duration: 4:51
    Familia ya marehemu Raila Odinga imeelezea taswira ya mtu waliyemuenzi na ambaye aliyebadilika kwa urahisi kutoka mwanasiasa mahiri hadi baba na babu aliyependwa na familia yake.Familia hiyo ilihutubia waombolezaji katika mazishi ya kitaifa yaliyofanyika katika Uwanja wa kitaifa wa Nyayo, ambapo binti yake wa mwisho, Winnie Odinga alitumia fursa hiyo kuelezea hali halisi ya kifo cha Odinga kilichotokea siku ya Jumatano.