- 1,584 viewsDuration: 2:48Familia moja ya Mombasa inalilia haki miaka miwili baada ya jamaa yao kufariki katika njia tata eneo la diani.Kennedy Olilo Obura anadaiwa kuuwawa baada ya kuhudhuria harusi ya rafikiye. Familia inadai juhudi za kupata haki zimeendelea kukumbwa na vikwazo kwani hata kesi haijaanza mahakamani