- 2,143 viewsDuration: 1:46Familia ya mtoto Mohamed Abdi Ali aliyepotea mwezi wa oktoba,mwaka Jana,ingali inamtafuta mtoto huyo. Familia hiyo inasema kuwa Mohamed Abdi alipotea kwenye herehe ya Harusi huko Kiamaiko Mtaani Huruma na hajapatikana hadi sasa. Inadaiwa kuwa mama mmoja aliyenaswa kwenye picha za CCTV akimhadaa mtoto huyo.. Familia inaamini mshukiwa huyo alikwneda katika eneo hilo kutafuta kibarua Cha kufua nguo na kutoweka na mtoto huyo mchanga...Mohamed Abdi alipotea akiwa na umri wa mwaka mmoja na mwezi mitatu. Familia ilipiga ripoti kwa polisi bila ya usaidizi