Familia ya Mwanaharakati Mwabili Mwagodi aliyepatikana baada ya kupotea kwa siku nne inailaumu serik

  • | Citizen TV
    240 views

    Mwagodi aliyeripotiwa kukamatwa jijini Dar-es-Salaam nchini Tanzania alipatikana kichakani katika eneo la Kinondo kaunti ya Kwale akiwa katika hali mbaya ya kiafya