10 Jun 2026 1:39 pm | Citizen TV 8,567 views Duration: 1:37 Familia ya marehemu Rachel Wandeto, mwanamke aliyeuawa kwa kuchomwa kwa tindikali baada ya kuchora picha ya rais ruto begani, ina sababu ya kutabasamu baada ya mahakama ya Kerugoya kuamuru azikwe.